1.reby
Natafuta mchumba wa kiume. Umri wake uwe 30-37. Elimu:
Degree na kuendelea. Kazi: Awe muajiriwa. Awe mkweli. Uraia: Awe mtanzania.
Dini: Awe Mkristo. Asitumie kilevi wala kuvuta sigara. Kimo: Awe mrefu. Akiwa
na mtoto sawa. Kuhusu mimi: Umri:29-30. Elimu: Degree. Kazi: Nimeajiriwa.
Muonekano mrefu rang maji ya kunde. Mtoto: Ninaye mmoja. Dini: Mkristo. Utaifa:
Mtanzania. NB:awe tayari kupima Ukimwi. Namba: 0674247031. Tuma SMS kama una
vigezo hivyo.
2.mustapha
Naitwa salumu au ukipenda nite mustapha. Nimezaliwa 1990.
Naishi kiwalani dsm. Nilitafuta sana mke humu nimekosa nazani sina bahati humu.
Ok kwasasa siitaji mke wala siitaji mchumba bari naitaji mwanadada mmojaa ambae
atakua tu rafiki yangu wa karibu kimawasiliano naitaji niwe huru wakati wowote
kumtumia msg na kumpigia nitafrahi sana sitoitaji kuonananae bari kuchat nae tu
itatosha sana mana ntafarijika sana ktk nafsi yangu juu ya mengi yanayonitatiza
ktk kichwa changu. Nimeamua kufanya hivi kwakua nimekosa mahara pakupotezea
mawazo na kujipa japo faraja mana mimi sio mpenzi wa soka wala sio mpenzi wa
siasa ivo basi najikuta naumia sana juu ya msongo wa mawazo istoshe ukizingatia
sinywi pombe wala sivuti sigara. Naitaji mwanadada anaejieshimu na kujistiri
mwili wake ili ata siku ikitokea zarura kuonananae asinifedheeshe juu ya mavazi
yake. Pia naitaji awe muislam na napenda pia awe na umri kuanzia 23 adi 27. Na
ningependa na ninamuomba mungu mwanadada huyo awe ni modo na mrefu . Nitafrai
sana endapo nitakapokua nikichatnae whatssap na kumuona akiwa ktk muonekano
huo. Namba zangu ni hizi 0716434863
Kumbuka naitaji mdada huyo awe dsm
3.Hi guys my name is Badi de Asis. I am a doctor by
professional. Am here in site looking for friends. Am simple, talkative and
charming person.I need someone who is good at English.my mobile phones are
0713145185 and 0788145185. You are all welcome for chatting and keeping in
touch as well. fikiri
natafuta mchumba awe dar au pwani aszd miaka 25 mm mrisho
adamndunguru@yahoo.com
4.Mathew Ndunguru, NATAFUTA MPENZI WA KUISHI NAE NA BAADAE AWE
MKE WANGU. MIMI NI MKRISTO MCHA MUNGU, NAHITAJI KUOWA MWANA MKE AMBAYE AMETULIA
NA ASIWE NA TAMAA YA MAISHA. NAMBA YANGU 0657607867, ALIYE TAYARI ANITAFUTE
5.Maurine
natafuta marafiki wakuchat. namba 0706444501.
NITUMIE UJUMBE WAKO WENYE TAARIFA ZAKO MUHIMU NA SIFA ZA UNAYEMTAFUTA KUPITIA 0712311991 AU elikanayassin@gmail.com ILI NIUCHAPISHE
NITUMIE UJUMBE WAKO WENYE TAARIFA ZAKO MUHIMU NA SIFA ZA UNAYEMTAFUTA KUPITIA 0712311991 AU elikanayassin@gmail.com ILI NIUCHAPISHE