Jumamosi, 25 Juni 2016

Tafuta mchumba, rafiki, mke, mume hapa

1.reby
Natafuta mchumba wa kiume. Umri wake uwe 30-37. Elimu: Degree na kuendelea. Kazi: Awe muajiriwa. Awe mkweli. Uraia: Awe mtanzania. Dini: Awe Mkristo. Asitumie kilevi wala kuvuta sigara. Kimo: Awe mrefu. Akiwa na mtoto sawa. Kuhusu mimi: Umri:29-30. Elimu: Degree. Kazi: Nimeajiriwa. Muonekano mrefu rang maji ya kunde. Mtoto: Ninaye mmoja. Dini: Mkristo. Utaifa: Mtanzania. NB:awe tayari kupima Ukimwi. Namba: 0674247031. Tuma SMS kama una vigezo hivyo.

2.mustapha
Naitwa salumu au ukipenda nite mustapha. Nimezaliwa 1990. Naishi kiwalani dsm. Nilitafuta sana mke humu nimekosa nazani sina bahati humu. Ok kwasasa siitaji mke wala siitaji mchumba bari naitaji mwanadada mmojaa ambae atakua tu rafiki yangu wa karibu kimawasiliano naitaji niwe huru wakati wowote kumtumia msg na kumpigia nitafrahi sana sitoitaji kuonananae bari kuchat nae tu itatosha sana mana ntafarijika sana ktk nafsi yangu juu ya mengi yanayonitatiza ktk kichwa changu. Nimeamua kufanya hivi kwakua nimekosa mahara pakupotezea mawazo na kujipa japo faraja mana mimi sio mpenzi wa soka wala sio mpenzi wa siasa ivo basi najikuta naumia sana juu ya msongo wa mawazo istoshe ukizingatia sinywi pombe wala sivuti sigara. Naitaji mwanadada anaejieshimu na kujistiri mwili wake ili ata siku ikitokea zarura kuonananae asinifedheeshe juu ya mavazi yake. Pia naitaji awe muislam na napenda pia awe na umri kuanzia 23 adi 27. Na ningependa na ninamuomba mungu mwanadada huyo awe ni modo na mrefu . Nitafrai sana endapo nitakapokua nikichatnae whatssap na kumuona akiwa ktk muonekano huo. Namba zangu ni hizi 0716434863
Kumbuka naitaji mdada huyo awe dsm

3.Hi guys my name is Badi de Asis. I am a doctor by professional. Am here in site looking for friends. Am simple, talkative and charming person.I need someone who is good at English.my mobile phones are 0713145185 and 0788145185. You are all welcome for chatting and keeping in touch as well. fikiri
natafuta mchumba awe dar au pwani aszd miaka 25 mm mrisho
adamndunguru@yahoo.com

4.Mathew Ndunguru, NATAFUTA MPENZI WA KUISHI NAE NA BAADAE AWE MKE WANGU. MIMI NI MKRISTO MCHA MUNGU, NAHITAJI KUOWA MWANA MKE AMBAYE AMETULIA NA ASIWE NA TAMAA YA MAISHA. NAMBA YANGU 0657607867, ALIYE TAYARI ANITAFUTE

5.Maurine
natafuta marafiki wakuchat. namba 0706444501.

NITUMIE UJUMBE WAKO WENYE TAARIFA ZAKO MUHIMU NA SIFA ZA UNAYEMTAFUTA KUPITIA 0712311991 AU elikanayassin@gmail.com ILI NIUCHAPISHE